Naitwa Tulizo Lusuve, naishi Iringa manispaa. najishughulisha na shughuli za ujasiriamali.Karibuni wote.
Tiens/ Tianshi products au bidhaa za Tianshi ni bidhaa za kampuni liitwalo Tianshi lenye makao makuu yake Beijing, Bidhaa hizo zinajumuisha bidhaa za afya, bidhaa za urembo na mashine za mazoezi. Bidhaa hizi zimewanufaisha na kuwasaidia watu wengi walokuwa wakisumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya na zaidi kukuza vipato kwa walioamua kujiunga katika kuelimisha watu na kuwasaidia kupata bidhaa hizi.Karibuni sanaa!.