ELIMU

Elimu ni ujuzi ambao tunaupata ambao hatukuwa nao au hatukuufahamu, hivyo elimu inatuwezesha kuendana na wakati na kuweza kufanya mambo mbalimbali kwa wakati.

Elimu ni muhimu kwa kila mtu kwani inatuwezesha kujua mambo mbalimbali na kujua ulimwengu tulionao unavokwenda na kuendana nao ili kujiletea maendeleo yetu na taifa letu kwa ujumla. Hivyo karibuni tuelimishane na tupeane mawazo ili tusonge mbele kimaendeleo.

No comments:

Post a Comment