AFYA

Habari! Karibuni tuelimishane kuhusu afya na kupeana masuluhisho ya matatizo mbalimbali ya Afya na kupeana Elimu juu ya Afya zetu na jinsi ya kuzitunza. Kutokana na maisha ya kila siku tunayoishi tumezungukwa na mazingira ambayo ni hatarishi kwa afya zetu kama vile sufuria tunazopikia vyakula vyetu kitaalamu kuna aina madini ya chuma yalotumika kutengeneza sufuria hizi, ambavyo tunavila kupitia sufuria zetu tunazopikia. Pia tumekuwa watumiaji wa bidhaa wa bidhaa za viwandani ambazo huwa zimetunzwa kwa vihifadhi,. Ambavyo baada ya muda huwa na madhara kiafya katika miili yetu. Hivyo kwa nchi zilizoendelea wakapata wazo la kutengeneza bidhaa za Afya kwa ajili ya kutoa sumu ambazo tumeziingiza katika miili yetu kwa namna tofauti tofauti.Karibuni mjionee Bidhaa hizo na nyingine nyingi.

1 comment:

  1. Habari! Karibuni tuelimishane kuhusu afya na kupeana masuluhisho ya matatizo mbalimbali ya Afya na kupeana Elimu juu ya Afya zetu na jinsi ya kuzitunza. Kutokana na maisha ya kila siku tunayoishi tumezungukwa na mazingira ambayo ni hatarishi kwa afya zetu kama vile sufuria tunazopikia vyakula vyetu kitaalamu kuna aina madini ya chuma yalotumika kutengeneza sufuria hizi, ambavyo tunavila kupitia sufuria zetu tunazopikia. Pia tumekuwa watumiaji wa bidhaa wa bidhaa za viwandani ambazo huwa zimetunzwa kwa vihifadhi,. Ambavyo baada ya muda huwa na madhara kiafya katika miili yetu. Hivyo kwa nchi zilizoendelea wakapata wazo la kutengeneza bidhaa za Afya kwa ajili ya kutoa sumu ambazo tumeziingiza katika miili yetu kwa namna tofauti tofauti.Karibuni mjionee Bidhaa hizo na nyingine nyingi.

    ReplyDelete